Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Kupata jamii inayo jitambua hivi tuanze na elimu, vijana unao waona sasa wanao deal na. Vitu vya kipumbav ni zao la education system tuliyonayo
Mimi nakataa....kwani wewe ni zao la mfumo upi wa Elimu kama siyo huu huu wa CCM??
 
Wewe unakaa kwa shemeji Yako unasubiri dada yako awajibike kwa bed ndio ule utaona points za dogo kweli? Emu hama hapo ndio utaelewa dogo alikuwa anasema vitu Gani?
 
Wametuacha mbali sana hawa jamaa
 
Mbona na wewe kama mpu..mbavu tu unawalaumu hapo wapinzani...Kwani CCM huwa hamuoni kushindwa kwenu tangu uhuru??Wapinzani si ni wa majuzi tu hapa?
 
Mfumo wetu mbovu wa elimu nchii hii ndio unaozalisha mazuzu/mazezeta wasiohoji na kushtuka.Matokeo yake tunaongozwa madhalimu,walafi,wababaishaji wahuni,mabazazi na waongo.
 
Uwe unakaa kimya Kama hujui kitu. Unajua mpaka Sasa hivi mabadiliko mangapi yametokea Kenya baada ya maandamano ya Gen Z?
 
Abraham Lincoln's quote, "You can fool all the people some of the time and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all of the time," suggests that while deception or manipulation may work temporarily on some individuals or groups, eventually the truth will be revealed, and people will see through the deceit. The quote emphasizes the idea that honesty and integrity are ultimately more powerful than attempts to mislead or deceive others.
 
sisi tuendelee tu kukariri chimurenga war aisee
 
Tatizo hapa Bongo tunatawaliwa na madhalimu

Ukiyachokonoa tu kidogo na yenyewe yanakuchokonoa na chupa makalioni

Tanzania haiongozwi na wanadamu bali inaongozwa na majitu ukipenda yaite mazombi
ni swala la muda tu mkuu.
vijana hawawezi kuendelea kuishi katika mazingira haya siku zote huku wao wakifanywa masoko ya bidhaa za madawa ya kulevya na umalaya. hii haipo
iko siku moto utakao waka hakuna mtu atakayeweza Amini.
nauhakika weki wetu tutakuwepo japo umri utakuwa ushaenda lakini nafsi zetu sitatusuta na tutabaki na ningejua...! muda huo familia za kifalme tunazojinyenyekeza kwao wameshachukua kila kitu na sisi tumekaa kama vibuyu vya mganga tu.
 
Mbona na wewe kama mpu..mbavu tu unawalaumu hapo wapinzani...Kwani CCM huwa hamuoni kushindwa kwenu tangu uhuru??Wapinzani si ni wa majuzi tu hapa?
Sina maana hiyo ya kuwalaumu upinzani
Upinzani ni kuwakosoa waliopo madarakani na sio kusubiria matukio
Ni kuwakosoa kwa kuwakosesha vijana ajira, hela zinapigwa kila leo na hakuna wa kufanywa kitu, elimu duni na mengi ya kulaumu na kuyapigia kelele

Mimi sio mpinzani wala chama tawala bali naangalia pande zote tu
Ungeuliza ningeenda na wewe kwa hoja boss
Hebu vuta pumzi achia halafu ujibu bila jazba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…