Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Aisee, Netanyahu nakuelewa sana! Nyerere ndio alileta Kiswahili! Alikuwa muoga sana kutawala, akaona watu wawe wajinga atawale Kwa urahisi! Ni nchi ipi iliyotawaliwa na mwingereza wasiotumia Kiingereza? Mzee alikuwa hovyo sana!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wajinga NI wengi mno ! Angalia ELIMU yenyewe KUANZIA darasa la tatu ndiyo lugha hiyo inaanza kufundishwa tena kwa somo moja
 
Nilichogundua, waingereza waliweka mifumo thabiti katika kutawala makoloni yake kuliko ufaransa; mfano mzuri ni Africa magharibi yaliyokuwa makoloni ya ufaransa.
 
Aisee...
Kenya!🤔🤔🤔
 
Aiseee

britanicca said:
Yuko hoi kitandani, je ni juju? Je ni sumu! Au magonjwa sugu? Ila yuko hoi sana Toto pendwa

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu


Britanicca
 
Bila kusahau Glass moja ya maji Safi na salama😊
 
Sure mkuu 🤝
 
Kwa hapa Afrika hili kupata serikali inayowaheshimu wanainchi wake inahitajika sadaka ya damu,muda na jasho.

Maana hata ukiangalia baadhi ya nchi za wenzetu ambao angalau kidogo wamepiga hatua kisiasa/kidomkrasia kama South Africa na Kenya kuna sacrifices nyingi sana wamezifanya huko nyuma... hawajafika hapo walipo hivi hivi kwa kupiga kelele mitandaoni.
 
CC
  1. Mwigulu Lameck
  2. Lucas Mwashambwa
  3. Msoga Line
  4. Bumbuli Line
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…