Spirit, confidence, elimu, uzalendo, unity - ona kijana mdogo wa Gen Z aliyekamatwa alivyotema madini alivyopandishwa kizimbani

Wachina, warusi, wahindi, wahabeshi, waisraeli, waarabu, wajapani, wakorea na wengineo wengi tu wameendelea kwa kusoma kwa lugha yao.
Hata na sie tungesoma kwa lugja mama tungeelewa na kuendelea sana
Woote mnaowaona wameendelea kielimu ninkwasababu ya kutumia lugha mana,
Sio sie kujilazimisha na lugha ya kuletwa
 
Kwaiyo issue ni kuongea kingereza au masomo yafundishwe kwa kiingereza? Wewe unahisi wanaozungumza kiingereza wote wana hayo maarifa??
English ni lugha kama lugha nyingine, kujuwa kiingereza haimaanishi ndo mtu atakuwa na maarifa. Mbona ni kitu simple sana, shida sisi watu weusi tunafkiria kila anayeongea kiingereza basi ndo anajuwa, ana akili, ana maarifa c'mon broos
Hata ukienda huko europe sio nchi zote wanaongea kiingereza na watu hawaangahiki. Huwezi kupima u-intellectual wa mtu kwa kufahamu lugha ya kiingereza.
 
Suggestion yenu kwaiyo watu tubadilishe lugha ya kuzungumza iwe kiingereza sio kiswahili ili watu wapate maarifa. Kama kila taifa lingefanya hivyo duniani basi kila mtu angekuwa anaongea kiingereza na wazungumzaji wa kiingereza basi wote wangekuw intellectuals
 
This speech must be printed and posted all over the country.
Black people are half humans.
Very stupid
 
Angekua kwetu kule ng'ambo lazima angepotea huku kwetu wanaita kujiteka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…