Labda sijakuelewa unaposema kiroho..... (je unamaanisha upendo.., au imani ya kidini..? sababu kama ni dini je wapagani unawaweka wapi?)
lakini kama kiroho unamaanisha ni mapendo kutoka rohoni then huwezi ukawa nalo moja bila lingine... kiroho peke yake ni kama mapenzi ya mtu na ndugu yake; kimwili peke yake hayo sio mapenzi ni tamaa na hutokea kama ukichukua changudoa; lakini kwa wapenzi lazima viwepo vyote ili muitwe wapenzi na sio marafiki pekee