Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Habari gani wandugu!
Ningependa kujua kipi muhimu cha kufanya unapokuwa kwwnye kanisa la kiroho ili kuweza kupata delivarance kutoka katika uchawi na majini machafu!?
Maana kuna watu hawapati majibu ya maombi yao licha ya kuomba na kusali kwa muda mrefu kanisani! Ilhali kuna baadhi wanaopata matokeo ya maombi yao muda mchache baada ya kuomba.
Kuna mechanism gani nyuma ya nadharia hii ya kusali na kujibiwa maombi na wengine wasipate majibu!
Karibuni waungwana!!