Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Ni watu wengi sana wemekuwa wakimlilia Mungu kuonyeshwa vitu ambavyo havionekani kwa macho ya kibinadamu. Lakini Mwenyezi Mungu amewanyima watu wengi sana hii 'Zawadi' kwa kuwa anajua wengi hawana mioyo migumu ya kuvumilia na kuona yale yaliyoko sirini...
Kwenye maandiko utaona wana wa Israeli walitaka kumuona Mungu wakamwambia Musa, haiwezekani yeye peke ake ndio awe anaongea ana kwa ana na Mungu. Baada ya Musa kuwakubalia na kumwomba Mungu ajitokeze moja kwa moja kwa wana wa Israel, ilitokea misuko suko mikubwa ya moto, dhoruba, upepo wa kisuli suli n.k lakini Mungu hakuweko kwenye hivyo....
Wa Israeli, wakamwambia Musa, kama staili yenyewe ya kumwona Mungu ndio hii, basi hatutaki tena.
Spiritual eyes, ni uwezo anaopewa binadamu kuona vitu vya sirini, specifically ambavyo Mungu angependa mtu huyo avitambue ili kuvipatia ufumbuzi kwa njia ya maombi, kutenda au ushauri... Tatizo linakuja pale ambapo vingi ya vitu hivi vinakuwa na uzito mkubwa ambavyo akili ya kibinadamu, isipokuwa sustained na Mwenyezi Mungu, haiwezi kuvibeba. Mtu unaweza kurukwa na akili kwa kubeba vitu vya kiroho kwenye mwili wa kibinadamu...
Ndio maana hata mimi ninaona sio healthy kwa waamini wengi kupewa 'zawadi' hii ya kuona vitu vya kiroho...
Mfinaon Zaidi,
Mtume Paulo alipewa karama ya wingi wa mafunuo, ili asijivune mjumbe wa shetani akatumwa kumpelekea miiba kwenye nyama yake ambayo ilimtesa sana.
Danieli, alioneshwa maono ambayo yalimfanya awe mgonjwa kwa kipindi kirefu kutokana na kufadhaika kwa yale aliyo yaona.
Karama hii sio mchezo hata kidogo.
Nawasilisha.