N ndesamburo kwek Senior Member Joined Aug 1, 2011 Posts 136 Reaction score 21 Jul 23, 2013 #1 Ninaomba kwa ye yote mwenye idea ni wapi ninaweza apply kwa sponsorship ya MA-ed hata tuition fees pekee anisaidie.
Ninaomba kwa ye yote mwenye idea ni wapi ninaweza apply kwa sponsorship ya MA-ed hata tuition fees pekee anisaidie.
J JAK Member Joined Apr 23, 2012 Posts 92 Reaction score 20 Jul 23, 2013 #2 Kwa wafadhili sijui ila waweza kwenda bodi ya mikopo ukalipa 25% ya mkopo kama ulisoma kwa mkopo shahada ya kwanza,baadae omba mkopo kutoka kwao
Kwa wafadhili sijui ila waweza kwenda bodi ya mikopo ukalipa 25% ya mkopo kama ulisoma kwa mkopo shahada ya kwanza,baadae omba mkopo kutoka kwao