Hyo ya finance and investment me ninayo bachelor yake toka mipango pale.
utakuwa upo vizuri,ushapata mchongo?....kama huna sema nikuweke sehemu
Wadau natafuta sponsor wakuniwezesha ni some masters ya hapa nchini ya IAA au IFM kwa anayejua michakato ya kuniwezesha kufanikiwa tusaidiane
bachelor yako ulisoma nin kwani?