Wadau,naomba anaeweza kunisaidia kupata mtu/shirika/tahasisi itakayonisaidia malipo ya masomo yangu nayotegemea kuanza mwezi october mwaka huu....nimepata admission ya Mzumbe Dsm campus (MPA)lakini kifedha nimekwama kabisa na ninaitaji sana kusoma ili nitimize ndoto zangu..
Tuwasiliane kwa PM au ata hapahapa jamvini...
Thanks!
jaribu kucheki Scholarships for African Students
kwenye website ya mzumbe wameweka selected list ya main campus pekee,please kama kuna mtu anajua ni lini list ya campus ya dar itatolewa atufahamishe tafadhari.
Wadau,naomba anaeweza kunisaidia kupata mtu/shirika/tahasisi itakayonisaidia malipo ya masomo yangu nayotegemea kuanza mwezi october mwaka huu....nimepata admission ya Mzumbe Dsm campus (MPA)lakini kifedha nimekwama kabisa na ninaitaji sana kusoma ili nitimize ndoto zangu..
Tuwasiliane kwa PM au ata hapahapa jamvini...
Thanks!
kwani iyo mpa ni bei gan? alaf fuata zile linki zilizotolewa hapo juu na mwana jf ok
Mkuu jaribu Belgium. Mimi nimesoma MPA hapo Mzumbe miaka miwili iliyopita na nilifadhiliwa na Belgium. Hata hivyo katika kipindi changu wao walikuwa wakifadhili wafanyakazi wa serikali na wale wa NGO tu. Kwa hiyo jaribu!