Salehe.ally93
New Member
- Nov 17, 2012
- 4
- 1
Ni muda sasa tangu mkapa foundation walichukuwa majina ya waliomba udhamini wa mafunzo ya afya lakini mpaka hii leo hakuna kilichojili! Plz wanajamii f- kama kuna yeyote anayejua kinachoendelea huko atufahamishe maana kama vyuo vya afya tayari vishaanza masomo!