Sponsorship

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Jamani kama kuna yeyote yule anajua vyanzo vya taasisi yoyote ile inayoweza kutoa sponsorship mimi ninandugu yangu alikuwa amepata mfadhili lakini kwasababu zisizoweza kuzuhilika amejikuta hana tena msaada na wakati alikuwa katika taratibu za mwisho za kupata viza ya kwenda UK kusoma chuo cha Nottingham.Nawaombeni msaada wenu wakuu.
 
Anaweza akadefer admission yake na ataruhusiwa kuresume masomo in the next academic year. Hivyo basi kwa kipindi hiki cha mwaka mzima atakuwa na muda wa kutosha kuweza kutafuta scholarship. Mwambie aapply for British Chevening Scholarships ambazo zinategemewa kuwa announced in October 2010. Hata hivyo ajitahidi kupitia website yao kila mara kwa taarifa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…