pikipiki ndogo for sale MCAYT 741, scooter - bagamoyo mjini
.speed 140km/h SANLG ikasome ,
.tairi imara zenye kashata nene
.125cc - haili mafuta kabisa 10000 wiki nzima na zaidi
.ina buti kubwa kuwekea vitu vingi
. Automatic , unavuta tu mafuta unapepea
.bei 1.95M(milion moja na laki tisa na nusu tu)
.piga simu 0711448886 kwa maongezi zaidi
au whatsapp 0717471564
haina udalali maana ni ya kwangu mwenyewe. karibuni