Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Dua la kukuWazee wa Hamsa leo zitapunguwa halafu hamsa zingine zinawangoja Cairo
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ninyi mpo busy na naniLeo simba anapigwa tu!
Ujinga ni kwamba mapungufu ya kocha yote hamyaoni!
Mko busy na shaffii!
Kwa ulivyoibuka leo mtashinda aiseee.
Ila mtani unapenda kuifatilia SimbaaaaKila la kheri Leopards. [emoji41][emoji41][emoji41]
πππ sijui kama haitakuangusha hiyo mnyama yako Dada. ππππKila la heri mnyama yangu mimi