Washinde tu ili angalau timu moja ya nyumbani icheze na Everton.Leo nimewawekea pesa mikia....akishinda napiga pesa akifungwa napata amani ya moyo,,,win win situation
Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo ya Mbao na Gor mahia yamekuwajeWashinde tu ili angalau timu moja ya nyumbani icheze na Everton.
Gor mahia chaliMatokeo ya Mbao na Gor mahia yamekuwaje
Mbao imewavua ubingwa hao WakenyaMatokeo ya Mbao na Gor mahia yamekuwaje
Leo simba anapigwa tu!
Ujinga ni kwamba mapungufu ya kocha yote hamyaoni!
Mko busy na shaffii!
Wazee wa Hamsa leo zitapunguwa halafu hamsa zingine zinawangoja Cairo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumbuki maana siku nyingi nilikuwa hata sijazaliwa1998 kule Morocco kwa Raja Cassabranca ulipigwa 6 - 0 AU unajitoa ufahsm
Sent using Jamii Forums mobile app