Sportpesa has done it again: This time it is LaLiga

Sportpesa si ya wakenya,sawa na watz waseme GGM ni ya watz.U are just being used.
 
acha kuropoka...hio ni patnership na kuna wakenya apo.nadhani ata hujaielewa hii report wewe.

Nani amekataa hakuna wakenya,issue ni 100% Kenyan owned.

Uyo mwanamke niliyempa link hapo juu amejinasibu kuwa kampun inamilikiwa na wakenya 100%,sasa sijui uyu Guerassim Nikolov na wenzake ni wakenyaa pia.
 
Nani amekataa hakuna wakenya,issue ni 100% Kenyan owned.

Uyo mwanamke niliyempa link hapo juu amejinasibu kuwa kampun inamilikiwa na wakenya 100%,sasa sijui uyu Guerassim Nikolov na wenzake ni wakenyaa pia.
Acha nikusakie screen shot
 
Wewe Mkikuyu Huwezi Kutoa Maoni Yako Bila Kutukana Watanzania???? Sasa Tutakutafuta Hadi Upatikane Ili Utueleze ni Kwanini Unatukana Watanzania Mitandaoni. Hivi Tulikutomb..... mama yako??????? Popote Ulipo. Idiot
 
Hahahahaha,eti least developed countries!.
Nyie mna maendeleo gan hebu weka ushahid hapa
Hao wanaotoa hizo ranks nina mashaka nao
Weka ushahid kwa majimbo yenu yote kama hatutateleza kwa kukanyaga poops zilizohifadhiwa kwenye mifuko
achana na wapuuzi hao wakenya - kazi yao ukabila na rushwa nene ndio wanajua - nchi imeoza na haina kitu but kutwa Mitandaoni kutukana wenzao ambao hawana muda nao....
 
Wazungu ni wawili number 2 na number 9

Wewe mwanamke nakuambia mumeo ana kazi kubwaa,bichwa lako lemejaaa matope

Aya tutumiee hz data zako ambazo umezitoa Wikipedia sehem ambay mtu yeyote anaweza ku edit wkt wowote.Aya tuambie km kuna wazungu 2 na wakenya 9 ndio unataka kusema Bado ni 100% Kenyan owned.

Bichwa kubwa afu limejaa matope tu.
 
Acha nikusakie screen shot
Sportpesa is owned by Pevans East Africa Ltd 100%.

1. Gene Grand – 21%

2. Guerassim Nikolov – 21%

3. Asenath Wachera Maina – 21%

4. Paul Wanderi Ndung’u – 17%

5. Ronald Kamwiko Karauri (CEO) – 6%

6. Cellini Holdings Ltd – 5%

7. Valentina Nikolaeva – 3%

8. Robert Kenneth Wanyoike – 3%

9. Ivan Kalpakchiev – 2%

10. Francis Waweru Kiarie – 1%
 
Wazungu ni wawili number 2 na number 9

Alafu ww mwanamke kuanzia Leo tambua issue sio idadi ya utaifa Wa shareholders,hapa issue ni percentage ya holding ktk iyo kampeni,by the way wazungu wapo 4 na sio wawili

Tabia yako ya kushadadia mambo bila kuchunguza utaolewa kwa Mara ya pili mjinga kbs
 
Yangu ni as per July 2016 ama hujui shares hubuyiwa...na ukitaka matusi tunaeza anza pia unaongea mavi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…