SPORTPESA inakamua wakenya na kupeleka hela kwa timu za Malkia

Hela za wacheza kamari KenyaView attachment 1158415
Una akili za kimaskini kabisa wewe ,tatizo liko wapi?
Wamelazimishwa ku gamble mpira?
Mbona wengi wana gamble mpira na kupata pesa nyingi tu?
Kama wewe siyo fan wa gambling kaa kimya.
Kuna kampuni nyingi mno za ku gamble mpira and people are making millions of money, Naona kuna mfanyakazi wa SportPesa kakuchapia mkeo una hasira nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…