Sportpesa imepata kibali toka the Gaming Board of Tanzania... Sasa italeta uahindani kwa MBET, PREMIER BET, MKEKABET na MERIDIAN..., Habari njema kwa Vijana wanaopenda kubeti
Makampuni ya Betting na Mabenki njooni muwekeze Kenya pia....!!
Kenya hamna benki ya Tz(CRD ,NMB AU NBC to mention few, wakati wao KCB na Equity zimetapaa Tz
Tuamke!
Ok,sijaelewa what uve meant by "benki ya mkono"Niliona kitu kama hiii kule Westlands, ndo ile Benji ya Mkono?
Ok,sijaelewa what uve meant by "benki ya mkono"
Niliona kitu kama hiii kule Westlands, ndo ile Benji ya Mkono?
Nimeangalia hizo sites za Tanzania, but hazina markets nyingi. The best betting site in Kenya ni Betin, iko na almost 100 markets per game Sportpesa is just the biggest. Lakini Kenya these sites are milking people dry. Sportpesa, Betin, Betway, Elitebet, Betika, Betyetu, mcheza, betpawa, Dafabet, hollywoodbets, justbet, 1xbet, kwikbet, chezacash, Kenyasportsbet(a very old one), supabet247, and some others kama lucky2u na eazibet which I suspect zimecollapseSportpesa imepata kibali toka the Gaming Board of Tanzania... Sasa italeta uahindani kwa MBET, PREMIER BET, MKEKABET na MERIDIAN..., Habari njema kwa Vijana wanaopenda kubeti
Makampuni ya Betting na Mabenki njooni muwekeze Kenya pia....!!
Kenya hamna benki ya Tz(CRD ,NMB AU NBC to mention few, wakati wao KCB na Equity zimetapaa Tz
Tuamke!