Sportpesa: Mkenya ashinda dola Milioni 2 shindano la bahati nasibu

hehe great example hapo...by the way, when a farmer plants, ni kama bahati nasibu tu..i mean who knows that it is gonna rain esp in this era of climate change?
 

Image captionAbisai Samuel alibashiri matokeo ya mechi 17

Mkenya aliyefanikiwa kubashiri kwa ufasaha matokeo ya mechi 17 mwishoni mwa wiki amejishindia jumla ya Sh221m za Kenya, ambazo ni sawa na dola 2.2m za Marekani.

Mshindi huyo, Abisai Samuel, 28, ambaye ni mzaliwa wa Kakamega, magharibi mwa Kenya ndiye wa kwanza kujishindia kiasi kikubwa hivyo cha pesa.

Mshindi huyo wa Mega Jackpot ya kampuni ya Sportpesa alianza kushiriki mashindano ya bahati nasibu ya kubashiri matokeo mwaka jana baada ya kutambulishwa kwa mchezo huo na nduguye.
Yeye ni mzaliwa wa pili kutoka mwisho katika familia yenye watoto 12.

Amekuwa akiishi katika mtaa wa Eastlands, Nairobi kwa jamaa yake lakini kwa sasa amepelekwa eneo salama kutokana na wasiwasi kwamba huenda watu wakafika kwa wingi kumpongeza au pengine kutaka kufahamu siri yake.

Kijana huyo alikuwa tayari ameanza kusherehekea alipogundua kwamba alikuwa amebashiri vilivyo matokeo ya mechi 14 kati ya 17 zilizokuwa kwenye Mega Jackpot pale alipopigiwa simu na afisa mkuu mtendaji wa Sportpesa Ronald Karauri muda mfupi baada ya saa sita usiku.

SportPesa, kupitia taarifa, wamesema mshindi huyo alikuwa ameweka dau mara mbili kwa Sh200, kila dau ikiwa ya Sh100.

Samuel alifahamu kwamba mema yalimsubiri baada ya mechi ya Ligi Kuu ya Ufaransa Ligue 1 kati ya Dijon FCO na Bordeaux kumalizika sare 0-0 kama alivyokuwa ametabiri.

Haki miliki ya pichaTWITTER
Image captionTangazo la Sportpesa kuhusu mshindi wa Sh221m
Hakuweza kujituliza kutazama mechi mbili zilizokuwa zimesalia kati ya Tottenham Hotspur na Arsenal na mchezo wa Serie A kati ya Inter Milan na Napoli.

"Alienda kwenye klabu viungani mwa mji wa Nairobi ambayo yeye na mwenzake hucheza SportPesa na walikuwa wanajadiliana watafanyia nini mamilioni ya pesa ambayo wangepata pale simu kutoka kwa namba ya simu ambayo hawakuwa wameihifadhi ilipopigwa," taarifa ya SpostPesa inaeleza
Maafisa wa Sportpesa walimtambulisha rasmi kwa wanahabari Jumanne.


Image captionSamuel akiwa na maafisa wakuu wa SportPesa
Ili kushiriki shindano la Mega Jackpot, mshiriki huhitajika kuweka dau ya Sh100 pekee za Kenya.
willyd193.blogspot.com

Mechi ambazo mshindi alibashiri kwa ufasaha matokeo yake:
  • Sunderland v Bournemouth
  • Stoke City v West Ham
  • West Bromwich v Leicester
  • Barnsley v Burton
  • Bastia v Rennes
  • Guingamp v St Etienne
  • Metz v Nancy
  • Montpellier v Lille
  • Caen v Marseille
  • Bologna v Udinese
  • Empoli v Sassuolo
  • Everton v Chelsea
  • Augsburg v Hamburger SV
  • Dijon v Bordeaux
  • Tottenham Hotspur v Arsenal
  • Inter Milan v Napol
 
Hongera yake. Tsh 4.5 billion. Kweli katajirika kwa kubet
 
With the CEO Sportpesa Mr. Karauri
Award of 221,300,000 Kenya Shillings, I wish i got that amount
wanasema CEO wa sportspesa alimpigia simu mshindi baada ya matokeo ya mechi zote, je namba ya simu ya mshindi waliipataje? ninavyojua mimi mtu ukibeti unapewa karatasi au mkeka wako na haujazi taarifa zako binafsi e.g namba ya simu, sasa hao jamaa namba ya simu waliipataje?
 
Nipo naskiliza BBC Swahili....dunia yetu Leo jioni

Kuna mkenya kashinda Dollar million miambili ishirini na moja na laki tatu yaani 221,300,000 USD

Kwa makadirio ya harakaharaka ni sawa na Tsh.
4.8bn=wataalam wa hesabu watatusaidia....ni sh.ngap kwa kiswahili chepesi

Inasemekana ndie muafrika wa kwanza duniani kushinda pesa nyingi zaidi kwenye mchezo wa kubeti...tangu umeanzishwa.

Ameskika akihojiwa anasema "I don't bet my budget money I only bet extra money.... nilikuwanga na 200 Kenya Sh..almost two dollars...nkachukua simu yangu ya rununu nkaingia kwa sportpesa nkapress just two different bets kwa 100..the second bet niliend opposite kidogo....I thank God nimewin jackpot"
Jamaa ni Fundi wa nguo just fundi......

Ujumbe kwa Mnaobet

Mkiwa na extra money musisahau kubeti mana huwezi jua siku ya bahati ni lini....ukiliwa jipe moyo.NO PAIN...NO GAIN...KEEP IT UP....ONE DAY YES.....
 
Siendi Club
Sinywi pombe
Siongi wanawake
Sifanyi Starehe yoyote ile

Hela ya ziada naitumia kubet tu
 
huyu jamaa kutoka kenya kashinda bil 4.7 kwa kubet, kaweka dau la 2000 za kitanzania afu kuna wajinga wachache wanaponda na kusema eti ni mchezo haramu
 
View attachment 503992huyu jamaa kutoka kenya kashinda bil 4.7 kwa kubet, kaweka dau la 2000 za kitanzania afu kuna wajinga wachache wanaponda na kusema eti ni mchezo haramu
You are a lazy thinker. You want easy life eithout sweat. That will never happen. Jiulize, ni wangapi walitumia hiyo TZS 2000 kubet na wangapi wameshinda?
 
Huyo dada nae aache ufisi kwa jicho gani hili analomuangalia Mume wa mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…