Sportpesa: Mkenya ashinda dola Milioni 2 shindano la bahati nasibu

Tatizo watu hawapondi betting ila wanaobett haajiamini
 
Kwa maana hiyo jamaa ametenda dhambi na kwamba akipeleka shukrani huko anakoabudu atafukuzwa?
 
ya kaisari mupe na ya Yehova mupe , hii kitu kila wiki nina uhakika wa sio chini ya 200k ya weekend thru betting, yani hio ni given, so mniache🙄
 
Kuna mshindi mmoja wa voda alishinda milioni kadhaa lakini hawakumpa mpaka jamaa akafungua kesi.. Sijui ile kesi ilisha wap..
 
Lazima awindwe tu kitaani, hizo pesa kwa maisha ya kitaa nyingi sana... mchezo ni halali ndo maana umesajiliwa na kupewa leseni. kubashiri na upate ni kazi pia ambayo inaweza kukufanya utoe jasho. Kubet nayo kazi vile vile.. vijana betini tu mpaka kieleweke.
 
View attachment 503992huyu jamaa kutoka kenya kashinda bil 4.7 kwa kubet, kaweka dau la 2000 za kitanzania afu kuna wajinga wachache wanaponda na kusema eti ni mchezo haramu
Mungu hakupanga watu waishi kwa bahati, fikiria wote tukisubiri kubet mabilionea watakuwa wangapi?, Mpango wa MUNGU ni watu wafanyekazi kwa mikono yao naye abariki kazi zao na sio kubashiri.
 
ya kaisari mupe na ya Yehova mupe , hii kitu kila wiki nina uhakika wa sio chini ya 200k ya weekend thru betting, yani hio ni given, so mniache🙄
Mkuu unatumia njia gani kubet, nami nataka angalau kwa siku niingize hata elf 15-20 tu inanitosha!! Tell me
 
Ni ushindi mzuri lakini hauwezi kutupa uhalali wa mchezo wenyewe. Maana hata majambazi huwa yanapiga hela kinoma lakini bado ujambazi sio kazi halali.

Hongera kwa mshindi!
kwani uhalali wa huu mchezo unapatikiana vp??
 
Jidanganyeni, betting ni burudani, betting ni ulevi kama mwingie anayevuta sigara au pombe au anaenunua Malaya, utofauti ni kwamba WA betting anaweza pata faida baada ya ku-stake.

Na uzuri WA Betting si bahaati nasibu kama mnavyojidanganya, u need to know the game, uzijue timu, ujue h2h records, na ujue forms ya players na mwenendo WA ligi husika.........unahitaji akiki, there is no luckness kama kuonesha kekundu na keusi....

Na betting inakuwa burudani unapokuwa umejiwekea kiwango cha kubet kwa Siku...na Sikh zote bet kwa kiwango unachoweza afford kupoteza....

Jadili ujinga na watu hawakosi za supu kupitia betting
 
Unawela 500 timu 30, kwanini usimnunie mhindi??
 
waambie haoooooooooooooooooooooooooooooooooooo.....AGIZA SUPU NITALIPIA MIMI
 
Watu wameumiza vichwa halafu unakuja kudiss betting...BIG UP SANA KWA JAMAA.. AMENIHAMASISHA NA MIMI
 
Jamaa amepasua myamba kachana na Anga tayari. Ulaya anapachungulia dirishan kwake [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…