Sportpesa Super Cup: Kariobangi Sharks FC 2-3 Simba SC, uwanja wa Afraha. Simba inasonga hatua ya nusu fainali

Hivi Kenya wametuzidi kiwango cha mpira Tz au? Inakuaje timu zetu ziko mdebwedo kiasi hiki??
Simba utadhani wanacheza na Mancity.
Kwa mpira huu, kama tutabahatika kupita na kukutana na gor mahia huko mbele, lazima watatuosha vizuri tu.
 
Hivi ndivyo viwanja bora vilivyopo Kenya? Sportspesa wamepitisha vp hivi viwanja kutumiwa?
 
Nashangaa hata mie Mkuu. Labda game ikiisha ndio watakuja wajinadi. Teh teh.
Nasikia dk 90 tayari, yamepewa dk 6 yabadili matokeo. Mikia bana, yatakuja na soga, sisi tumetoa droo
 
simba na yanga ni mapacha tu
leo simba nae atabebeshwa virago vyake kurudi nyumbani
hii michuano azam angekuwepo ndio ningeongea mengine hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…