SportPesa Super Cup: Singida United yawa mshindi wa 3! Simba yapigwa 2-0 na Gor Mahia, yawa mshindi wa 2

Huu usajili wa Mohammed Rashid kutoka Prison hautakuwa na manufaa kwa Simba. Ni mchezaji wa kawaida mno mno
 
Updates ya Matokeo ya mtanange wa fainali kati ya Gor Mahia ya Kenya na wauza sura (simba sc) kutoka KariaKoo.

Hivi sasa ni Gor Mahia 1 - 0 Simba SC.
Unavyoripoti kwa chuki inakuwa si rahisi kuamini kama kweli haya ni matokeo halisi.
 
Hahaaa. Sesten umejua kunichekesha lol.

Sasa mate yanaandikiwaje au ndio umeshaanza kuvurugwa na kipigo. Teh teh.
Dah! Yaleyale ya mfupa hauna ulimi Hajar......haya narekebisha tusiandikie mate wino ungalipo bibie, kaa kitako hapohapo kwenye luninga yako halafu uangalie vijana
 
Mungu jaalia timu yangu ya kenya kogelo boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…