NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
- Thread starter
-
- #21
Mfano first eleven yote ya simba wachezaj wako na team zao za taifa. The same kwa yangu wachezaj 7 wote first 11 wako nje. Kingine team za bongo hazikujiandaa zilichukulia kama bonanza tuu ndo maana hata ma head coach tumewaruhusu waende kwa leave. Nyie wenzetu wa kenya kumbe mlikua mmepania sana. But all in all hongerani. Next time tuta take serious!
Fifa ranking is just a number..ila mkija kwa pitch tunawanyuka tuu. Hio rank wala isikunyanyue mabega sio issue. Tuliipiga ghana na comeroon wenye rank za juu ni ninyi apo.
Kwani ni Mara ya kwanza team za Kenya kukutana na timu za Tz?Jinsi ulivyojiexpose kwa uzi huu, Kenya ikicheza na Tanzania utarudia yale yale ya Tanzania kachezesha team B.
Ata AFC na Gor zote team B...Jiulize mbona Hamna player EPLKenya mmezishinda team B za simba na yanga msijitape sana
Naona watu munatambiana tu, hili bonanza timu za bongo hazikuchukulia uzito. Kwa level za vilabu, ligi ya vpl ndiyo ligi bora upande wa east Africa. Wangechaguliwa Mbao Fc,Mbeya city na kagera fc. Hakuna timu ya kenya ingefika nusu fainal. Simba na Yanga hata Azam hakuna mchezaji E.Africa hatamani kuzichezea hata hivyo kikosi cha simba chote hakikuwepo isipokuwa wachezaji watatu. Hivyo niwapongeze tu kenya kwa kuthamini na kuyapa mkazo mashindano haya. Mwakani mtabadilisha kauli hizi za kejeli.
Kwakuwa wakenya kila kitu hujifanya munajua,shishangai pumba munazoandika humu.
Sio kujifanya tu, ni kweli tunajua na hilo lipo na linafahamika kwamba Wakenya tunajua. Ndio maana Mkenya anaingia chuo kikuu baada ya kidato cha nne, ila Mtanzania inabidi hadi afikie kidato cha sita, na hatimaye wote wakiwa na vyeti vya shahada unakuta bado Mkenya yuko juu.