Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Nasikia Kuna timu Tz ina Pata fedha kama hizo kwa muda chini ya miaka mitano.Hii itafadha udhamini wao kuwa mnino kuliko ule wa NBC
Nasikia Kuna timu Tz ina Pata fedha kama hizo kwa muda chini ya miaka mitano.
Hawa ni wadhamini wa ligi bado wadhamini wa kibinafsiNasikia Kuna timu Tz ina Pata fedha kama hizo kwa muda chini ya miaka mitano.
Hiyo ni udhamini wa ligi mkuu sio club sponsorSimba, kwa miaka mitatu.
huo ni udhamini kama wa nbc (title sponsor), siku zote huwa wa kiwango cha kawaida!Nasikia Kuna timu Tz ina Pata fedha kama hizo kwa muda chini ya miaka mitano.
Ndio miaka yote kwa hiyo pesa kiduchu? Au wamerambishwa asali?Hiyo ni udhamini wa ligi mkuu sio club sponsor
Miaka ni mingi sana. Pcccb wa Kenya wasogee hapohuo ni udhamini kama wa nbc (title sponsor), siku zote huwa wa kiwango cha kawaida!
Usiombe wakakusikia😎Jirani wako levels za chini sana
Kwan NBC wanatoa ngapi mkuu 🤣 haifiki hata hii ya wakenyaNdio miaka yote kwa hiyo pesa kiduchu? Au wamerambishwa asali?
Kwan NBC wanatoa ngapi mkuu 🤣 haifiki hata hii ya wakenya
Hii ni kwa mda gan?
Sio mwaka mmojaSimba, kwa miaka mitatu.
2027 mkataba wa nbc unakoma kama sijakoseaHii ni kwa mda gan?