Sports arena hongereni kwa uchambuzi wenu wa soka ulio makini

wa kupuliza we ni mweupe kabisa katika maswala ya umiliki wa hisa za makampuni
~Microsoft - Balmer 28% na Bill Gates 24%
~Facebook - kuna jamaa ana 30% na Mark ana 25%
Sasa je unaweza kuwatenganisha Microsoft na Bill Gates? Au Mark Zuckerberg na Fb? Eti "majority shareholders"... Tutolee ushamba wako hapa
 

Ndio shida ya elimu za ku-google.

Pamoja na kwamba wewe ni zuzu pengine haujui hata Steve Job pamoja na kua ni Founder&CEO wa Apple alifukuzwa kua CEO wa Apple mwaka 1985 wkt Co. ilikua ni yake.

Tafuta elimu dogo
 
Ndio shida ya elimu za ku-google.

Pamoja na kwamba wewe ni zuzu pengine haujui hata Steve Job pamoja na kua ni Founder&CEO wa Apple alifukuzwa kua CEO wa Apple mwaka 1985 wkt Co. ilikua ni yake.

Tafuta elimu dogo
Wewe ni empy nenda tena shule.
 
Wewe ni empy nenda tena shule.
Mbona unamkemea mtu anayekwambia ukweli 51% ya Mrs kusaga inaweza kuteuwa CEO mwingine ,kumbuka concepts za controlling interest ,general meetings ,boards appointments ni jambo la kawaida sana ,ukianzisha kampuni na ukawa na share kidogo mwenye nyingi anaweza kukunyanganya uongozi huku ukitoa macho ,na kisheria CMG ina controlling interest na wasafi maana mmiliki wa wasafi kwa majority decision ndio mmiliki mmojawapo wa CMG,Diamond kuwa salama ni lazima anunue share za mrs Kusaga au restructure ya shareholding ifanyike siku wakiamka vibaya utasikia Shafih Dauda kateuliwa na board ya wakurugenzi kuwa CEO wa wasafi
 
Acha utani mzee baba founder wa Wasafi media ni diamond anaanze kutulewa? hiz akili zenu Zina matatizo natamani niwafafanulie vizuri ila Leo sijisikii kuandika comment ndefu.
 
wa kupuliza Acha porojo jomba... Kubali tu kuwa we ni MWEUPE kwenye haya mambo

Umeleta stori za Jobs kufukuzwa, hivi unaelewa ni nini kilitokea? Hujui kitu, ungekuwa unajua usingenambia Steve Jobs alifukuzwa

Labda kwa kifupi nikupe stori ya Steve Jobs ili uelewe

Mwaka 1985 Apple walianzisha uzalishaji wa kompyuta zao aina ya "Macintosh", Jobs akawa ndo kiongozi, na akawa anataka Mac liwe kampuni, yaan kampuni (Mac) ndani ya kampuni (Apple), na alikuwa mtata kweli. Kutokana na maamuzi yake hayo ikapelekea mauzo ya kompyuta za Mac kudorora... Hivo bodi ya wakurugenzi wa Mac ikaamua kumtimua kwenye mradi wa Mac computers...

Baada ya kuona hata CEO wa Apple bw. Sculley hayuko upande wake AKAAMUA KUACHANA NA APPLE kwa kuuza hisa zake zote na kwenda kuanzisha kompyuta zake aina ya NeXT.
Miaka kumi baadae NeXT ilinunuliwa na Apple na Jobs akarudi rasmi kuwa part ya Apple. Akateuliwa kuwa CEO na kufanya wonders kibao Mf. iPhones na iPads

Hivo usitake kutufanya wote mazuzu, tofautisha kuacha kazi na kufukuzwa
 
Lukub Bodi ya wakurugenzi huzingatia na maamuzi ya mwanzilishi wa kampuni... Kumbuka Founder ana nguvu zaidi hata kama hana hisa nyingi unless auze hisa zake zote kama alivofanya Steve Jobs, hiyo ikiwa na maana ya kujitoa kwenye kampuni lake. Angalia Microsoft nguvu aliyonayo Bill Gates japo hisa kazidiwa na bwana Ballmer

Hivo sahau kuhusu sijui mama kusaga kumchagua Dauda kuwa CEO... Atasikilizwa lakini ombi lake litagonga mwamba

Ni sawa na Whatsapp na Mark... Mark aliinunua wasap, lakini alivotaka kuweka Ads yule jamaa muanzilishi wa wasap aligoma... Mark alipojaribu kulazimisha, jamaa akajitoa wasap. Na hakujitoa kama wengi wanavosema kufukuzwa, aliuza hisa zake zote. Sa kwanini Mark asingeweka tu kwa vile ye ndo mwenye hisa nyingi?

Afu vipi kama Mondi alimuuzia hisa mama Kusaga kama alivofanya Gates kwa Balmer?
 
Ndio shida ya elimu za ku-google.

Pamoja na kwamba wewe ni zuzu pengine haujui hata Steve Job pamoja na kua ni Founder&CEO wa Apple alifukuzwa kua CEO wa Apple mwaka 1985 wkt Co. ilikua ni yake.

Tafuta elimu dogo

Mwaka 1985 Jobs wakati anaachana na apple (na sio kufukuzwa kama unavodai), CEO alikuwa Sculley... Na Steve Jobs hakuwahi kuwa CEO hapo kabla mpaka mwaka 1996 baada ya ile kampuni yake ya NeXT aloenda kuanzisha baada ya kuondoka apple kununuliwa na apple ndo akateuliwa kwa mara ya kwanza kuwa CEO wa apple

Acha kupotosha watu, kesho ukigoogle tena somaga vizuri afu uwe unaangalia na jina la source ya taarifa zako
hii itakusaidia usiwe MWEUPE kichwani
 
Mbona umewalenga Clouds FM na sio E. FM ilhali pana mtangazaji katokea huko (E fm)?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…