nasikia TFF kunafukuta!Mada ubaoni ni kuhusu pesa za dharura ya Corona kwa ajili ya kubust ligi za nchi kutoka FIFA kwenda kwa TFF.
TFF kama shirikisho la soka Tanzania wanagoma kuwapa pesa Zanzibar.
Hoja kubwa kisiasa Zanzibar ni nchi ila kisoka Zanzibar ni kama mkoa.
Wanzazibar walioko nje ya nchi wanachangia shit ile mbaya, Adam Natepe wa zenji amechachamaa kwamba kwenye katiba ya TFF, ZFF inatakiwa wapewe mpunga.
Mjadala ni mkali, wako hewani saahizi kupitia 88.9 wameshahama kutoka kwenye soka sasa wanazungumza siasa.
Muungano ni pasua kichwa, anasikika Mzanzibar mmoja kutoka Instagram.
zanzibar sio nchi zanzibar na sehemu ya jamuhuri ya muungano wa tanzania ndo maanza zanzibar haina kiti umoja wa mataifa bali ni tanzania ndo inakiti.
hayo mambo ni ya kukaa chini na kuzungumza kati ya TFF na ZFF yataisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zanzibar ni moja ya mikoa ya Tanzania na ina wilaya mbili, unguja na pemba.
wewe mwerevu kaipe zanzibar uanachama wa fifa kama ni rahisiwakuu ficheni ujinga wenu, hayo munayoyaeleza hayahalalishi dhulma wanayoifanya TFF kuwanyima ZFA haki zao.
Na Huhitaji kuwa lazima uwe na kiti Umoja wa mataifa ili uwe mwanachama wa fifa, Scotland, Wales, zote ni wanachama na wala hawana viti
wacha wapige tu,Kama hakuna Alie wahi kulambwa miaka jela wataziacha?wakale wapi?
Kwanini wanabendera yao na wimbo wao wa taifa na kwanini ukinunua gari zanzibar ukija nalo bara hadi usajiri tena??zanzibar sio nchi zanzibar na sehemu ya jamuhuri ya muungano wa tanzania ndo maanza zanzibar haina kiti umoja wa mataifa bali ni tanzania ndo inakiti.
hayo mambo ni ya kukaa chini na kuzungumza kati ya TFF na ZFF yataisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuanzie hapa kwanza, FIFA inaitambua zanzibar kama mwanachama wake?wakuu ficheni ujinga wenu, hayo munayoyaeleza hayahalalishi dhulma wanayoifanya TFF kuwanyima ZFA haki zao.
Na Huhitaji kuwa lazima uwe na kiti Umoja wa mataifa ili uwe mwanachama wa fifa, Scotland, Wales, zote ni wanachama na wala hawana viti
Wazanzibar kipindi kile cha Rasimu ya Katiba ya Warioba walishangaza sana.
Wakiwa kule kwao kwenye ukusanyaji wa maoni walisema wanataka serikali 3, walivyoenda Dodoma wakabadili maimamo.
Tuanzie hapa kwanza, FIFA inaitambua zanzibar kama mwanachama wake?
Sasa kumbe unajua FIFA wanatoa hela kwa ajili ya nchi moja tu ambayo ni Tanzania.Suala la fifa kutoitambua Zanzibar halina mahusiano kama Zanzibar ni nchi au sio,.
Suala la uwanachama wa fifa ni suala la kisiasa, endapo serekali yetu ikiamua kulitatua basi linamalizika kiwepesi kabisa.
bendera ndo nini wewe.kila jiji linabendera za alimashauri hata tff inabendera yake.Kwanini wanabendera yao na wimbo wao wa taifa na kwanini ukinunua gari zanzibar ukija nalo bara hadi usajiri tena??