Sports betting haina athari kwa uchumi wa vijana?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hivi hii kamari haina athari kweli kwa uchumi wa vijana japo kuna wachache ambao wanafaidika?

Vijiwe vya betting mitaani sasa ni kila kona na vinazidi kuongezeka.Je,huu tunaweza kuuita ni ujasiriamali?

Vijana kushinda mitaani kwenye vijiwe vya ku-bet kuna tofauti gani na mtu kushinda bar au kwenye vilabu vya pombe huku aki-spend wakati ana kipato kidogo?

Je,betting hii inayovuta vijana wengi tofauti na michezo mingine ya kubahatisha haistahili kweli kutungiwa sheria maalumu kwa mfano muda wa watu kushiriki betting?

Hivi hata katika nchi za wenzetu nako hali ni hii hii?
 

Unaweza sema wapo kwenye mtihani ya shule kumbe ni wanaBET
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…