simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Namba za lipa na mpesaa ya k ampuni za sports betting Kenya zimefutwa.vijana wa mkeka betting wamenuna usiseme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee, sports betting ndio unaita kampuni? 😀Hahaha hii ndio company wa Kenya walikuwa wakitunyima nayo usingizi humu ndani
Haa umechapia, hata hujaelewa kilichoandikwaHahaha hii ndio company wa Kenya walikuwa wakitunyima nayo usingizi humu ndani 😁😁😁 eti inamilikiwa na wa Kenya, kiko wapi?