Mnandi Senior Member Joined Aug 30, 2011 Posts 156 Reaction score 26 Sep 22, 2011 #1 wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha??,,,nashkuru sana..
wakuu habari zenu, nataka kujua ntapata wapi laptop skins za club za Uingereza Liverpool, Arsenal, Chelsea na Manchester United kama hizo katika picha hapo kwa hapa Dar na Arusha??,,,nashkuru sana..
M mickky New Member Joined Dec 21, 2011 Posts 2 Reaction score 0 Jan 18, 2012 #2 Nice laptop skins and theme sports lovers might like these most