Mkuu matokeo yako nadhan yanafanana na ya jesca...kilaza.Umbea huo kama ulikuwa unania ya kuwapa ujumbe ungeenda kwny page zao kucomment
Wote wawili hao ni Bure kabisa...nashindwa kujua wale ni watangazaji ama wachambuzi...siwaelewi kabisaMaestro alikazana kuimarisha kipind lkn wap dhuuu wakamchomoa borachata wangemtoa huyo issa maheda
Edga mchambuz mzur sana
Jamaa mbona wapo vizuri sana na wanajitahidi sana kutoa analysis nzuri sana. Ni vijana wadogo na bado wanajifunza na kwa uchanga wao wanajitahidi sana.Kwa miaka kadhaa sasa ifikipo saa tatu usiku nipo nyumbani nikisikiliza Sports Extra Ya Clouds FM ila kwa siku za karibuni nimeanza kupoteza ladha na kipindi hiki kutokana na mpangilio mbaya wa habari za michezo kwani wamekua wakitumia muda mwingi kutoa mawazo yao na kubishana wao kwa wao kiufupi wanaboa.
Naomba Shafii Dauda ondoa hawa jamaa wawili maana wanaharibu kipindi ambacho wewe,alex lwambano na Ibrahim Masoud Maestro mulitumia miaka mingi kufikisha hapa ilipo leo...
Hao watangazaji ni hawa wafuatao.
1. Issa Maeda
2. Edga Kibwana
Hao jamaa wanaboa na wanakuharibia kama Mkuu wao wa kazi.
Ukijaribu kuangalia Mada nyiiiingi huyu jamaa(Issa) hutofautiana wenzake mars zoooote Edger,..Maestro cjui walishindwana nini,Maestro alikazana kuimarisha kipind lkn wap dhuuu wakamchomoa borachata wangemtoa huyo issa maheda
Edga mchambuz mzur sana
Umeonaaa eeeeh mkuuu yan wakiwa hao bla (issa) kipind kinanoga sana na unawaelewa mwanzo mwisho ukimwongezea hapo maestro dhaaaaa n inakua n bomba sana huwez kutaman hata kukaa mbl na redio yan.bora hata awe fatma likwata kulko (issa) ni mpingaji wakupindukiaUkijaribu kuangalia Mada nyiiiingi huyu jamaa(Issa) hutofautiana wenzake mars zoooote Edger,..Maestro cjui walishindwana nini,
kinanoga wakiwa Lwambano,Dauda ,Edger ila Wakishakaa Edger na Isaa uuuuuuuuuuw8
Mkuu upo kama Mimi Yan hao vijana pumba kabisa , miaka ya 2012 nikiwa advance lazima nisikilize sport extra , lakn now days ni upuuzi mtupu , Bora ufatilie news online kuliko kusikiliza hao vijana , kwanza hata tone ya utangazaji hawana....Kwa miaka kadhaa sasa ifikipo saa tatu usiku nipo nyumbani nikisikiliza Sports Extra Ya Clouds FM ila kwa siku za karibuni nimeanza kupoteza ladha na kipindi hiki kutokana na mpangilio mbaya wa habari za michezo kwani wamekua wakitumia muda mwingi kutoa mawazo yao na kubishana wao kwa wao kiufupi wanaboa.
Naomba Shafii Dauda ondoa hawa jamaa wawili maana wanaharibu kipindi ambacho wewe,alex lwambano na Ibrahim Masoud Maestro mulitumia miaka mingi kufikisha hapa ilipo leo...
Hao watangazaji ni hawa wafuatao.
1. Issa Maeda
2. Edga Kibwana
Hao jamaa wanaboa na wanakuharibia kama Mkuu wao wa kazi.