huyo robinho hakustahili kuwekwa hapo atleast ungemweka ronaldo ningekuelewa waongelea mwana mpira cz for dis yr he has achieved alot of things in sector ya mpira wa miguu ukilinganisha na huyo robinho...timu ina hela na kila kitu but iko almost mkiani mwa ligi