usiwe na wasiwasi mkeka wako uko salama This is SimbaSimba wanapiga pasi nyingi ambazo hazina faida...hawajafanya shambulio hatari hata moja,
Sent using Jamii Forums mobile app
Shadeeya mambo ni [emoji313][emoji313][emoji313] clap [emoji122] for kagere
mikia wanakimbizwa kama watoto hapa
Unajua Shadeeya nilitamani sana uwe simba sema tu kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu nashindwa kukubadilishaDuuuh
Safi sana vijana...na fainali nawawekea tena kilo 2usiwe na wasiwasi mkeka wako uko salama This is Simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bongo nyoso, kwa ukisema kwa Kiswahili tu 'saa nane kamili za mchana' utapungukiwa nini
[emoji28][emoji28]say whaat, 14:00 Am,It will kick at 14:00 Am
Ndio kiingereza nini?Dah... Kweli wewe shombe la kisomali!!! 14:00 am ????
Ukiangalia comments zake utagundua ana mahaba na Simba japo anajitahidi kuyaficha.Unajua Shadeeya nilitamani sana uwe simba sema tu kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu nashindwa kukubadilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
KILA LA HERI BANDARI FCNaomba kufahamu mechi ya Simba na Bandari ianchezwa saa ngapi....tukapozee machungu !