paul green
Member
- Jan 16, 2019
- 18
- 17
Sasa sisi baba zenu (Yanga) na nyie mikia fc waporipori, ni nani wenye dharau....Mie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
Mie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
Naomba nihesabu Mkuu.
Kama Mikia mlivyoifuata hii aibu ya TaifaKuficha udhaifu ni kuyakimbia mashindano kama ilivyokuwa mapinduzi cup, sasa ni kama kuifuata aibu.
π€£π€£π€£π€£ niliona kuna kajamaa eti kanasema goli za kawaida sana zile. Nikasema Duuh. Goli tano halafu mtu anasema za kawaida ama kweli As Vita si watu wazuri.Sasa sisi baba zenu (Yanga) na nyie mikia fc waporipori, ni nani wenye dharau....
Dharau zenu si ndio ziliwaponza mkapigwa 5:0
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna lile moja lililokataliwa bila sababu liliniuma sanaNaomba nihesabu Mkuu.
Moja, mbili , tatu , nne , tano. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zoote zimeingia nyavuni.
Ulikuwa kama mimi aisee. ππ
mikia mikia wazimaMie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
Hahahaaa mimi hesabu zangu ziliniambia jamaa wanakula 7-0
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliona kuna kajamaa eti kanasema goli za kawaida sana zile. Nikasema Duuh. Goli tano halafu mtu anasema za kawaida ama kweli As Vita si watu wazuri.
Mtuambiage na hizo Dkk basi. πππYanga 0-1 Kariobang
Usiombee hvyo.. Sie hatunaga huruma kama Wale Vita tutawang'uta Hadi mtakimbiana uwanjaniMie naomba sana Mungu atukutanishe Simba na hawa Vyura
Midomo iishe sio kwa dharau waliyo nayo saivi
π€£π€£π€£ na kweli ila kupagawa hadi kuziona goli tano ni chache hiyo ni balaa Mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na kweli ila kupagawa hadi kuziona goli tano ni chache hiyo ni balaa Mkuu