Yaani Mtani wangu unaibukaga saa ya matukio tu.Kwani kumetokea nini mkuu?
Hahahaaa. Ningekukosa huku Walahi ningeumwa leo Dada.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ngapi hukooooooooo Shadeeya nakusalimia ndugu yangu nimekumiss tu
Nimekumiss pia Dada. ππππ Hiviii mnajua kwamba leo na nyie mnacheza?Hivi upoooo nimekumiss mm
Hahahaaa. Lol
Nyiee hapo.kuna mtu anateseka??
Hahahaaa. Ayeni tu.
Hahahaaaa. Nitaangalia tu.Vipi mtani! Ikitokea Simba inacheza na Everton utaweza kuangalia Kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa. Ayeni tu.
Ikifika zamu yenu hamkawii kuleta mambo za mwaka 47.
Leopard wanakufa mapemaHahahaaa. Mtoto kumbe na weww hujambo eeee. Haya bana.
Ila waswahili wanasema usitukane Mamba kabla hujavuka mto.
We cheka tu. π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napita hapoHahahaaaaa. Nipo Mount Meru aiseee. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nitakuwepo hapa nikipata nafasi. Nayatunza haya maneno Mtoto. Usiyakimbie tu
Uje na Machungwa. ππ
Kawaida yangu sikimbiagiNitakuwepo hapa nikipata nafasi. Nayatunza haya maneno Mtoto. Usiyakimbie tu
Hahaaa. Hukimbii ila ndio unapata kazi ya kogoogle mechi za kale ili kuzileta hapa kujifariji. ππππ
Ewaaaa. πππ
[emoji16][emoji16]Leo sifanyi hivyoHahaaa. Hukimbii ila ndio unapata kazi ya kogoogle mechi za kale ili kuzileta hapa kujifariji. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Niseme tu kazi mnayo.
Sawa. ππ