Hahahaaaa. Sawa
Akili za matopeni kabisa hizi, Yanga anunue mechi ngapi na kwa pesa gani hasa alizonazo ikiwa timu yenyewe huchangiwa na wananchi ikiwa inacheza uwanjani?Ndio hasara ya kuzoea mechi za kununua.
Na kutegemea kumtisha refa kwa kumpiga ngumi na vichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina matokeo kwani kashinda hizo Penalt au?
Afadhali aisee wamemvua ubingwa huyo Gor mahia itapendeza ubingwa ubaki hapa angalau na klabu ya TPL ichezee na Everton.Mbao haooooooo wameshinda kwa penalt 4-3
Basi hizo siyo pesa bali ni vijisenti tu vya kuzugia ili akomae vzr kimaisha ktk soka, lkn hakuna asiyeelewa ukata alionao Yanga hadi sasa hivi pale jangwani.Anasemaga nani kwamba Yanga hawana hela ?
Asiye na hela anaweza kwenda kwa usafiri wa ndege katika safari za kucheza mechi za mikoani ?
Yanga pesa wanayo ila haizifikii timu za Simba na Azam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angekamia ashinde ubingwa sport pesa apate hela ya glucose.Basi hizo siyo pesa bali ni vijisenti tu vya kuzugia ili akomae vzr kimaisha ktk soka, lkn hakuna asiyeelewa ukata alionao Yanga hadi sasa hivi pale jangwani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siyo kukamia bali tatizo hata kisaikolojia huwezi kuwa vzr ikiwa unacheza mpira kwa juhudi zote afu unaona kapu la michango ya pesa toka kwa mashabiki likipitishwa ili kuiendeshea klabu yako kiuchumi.Angekamia ashinde ubingwa sport pesa apate hela ya glucose.
Ha ha ha ila kupigana mmezoaIla mna maneno sana yaani. Tumeshakuwa mabondia. Duuh
Naona mmeanza kuturithi. πππHa ha ha ila kupigana mmezoa