Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Pole shem. Tutasikitika zaidi zikipita zile alizopigwa mikia.Presha shemela.
Ah. Wapi.
πππ leo hatutakunywa maji
Ila ndio atajifunza na kuziangalia upya kauli zake maana kindoki ni mfano wa kipa na si kipa.Nimechoka kuchekwa shemela, kumsamehe inatucost kiasi gani kuliko kumwendekeza kocha?
Leo tulia na dozi yakoAh. Wapi.
Mbona mkawa mnajifananisha na timu zilizofungwa miaka 20 iliyopita
πππ haya bana. Nasubiria Updates tu huku.
Haa π ππMtuambiage na hizo Dkk basi. πππ
Na kwa spidi hii lazima mtakuwa mashabiki wa Nguvu moja nyiee. ππ
Unadhani nina shida basi. Naipokea tu yaani.
Sisemei matokeo pekee Mkuu. Kuna kona, fouls, dakika na hata kadi za njano hivyo wengine hatutajua. π€£π€£π€£Haa π ππ
Sasa Thread Lazima Iwe Na Matokeo
Kumbe sio watu wazuri eee?