Yanga 0-2 KariobangYaani bora tu wakae kimya waendelee kuugulia maumivu ya 5-0
π€£π€£π€£π€£ leooo.Yanga 0-2 Kariobang
Wao 5 sisi 0Sisi 0: wao 2
Hebu nikumbushe hivi ile game na vita club iliishaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikumbushe na matokeo ya Vita vs Simba [emoji6]Yanga 0-2 Kariobang
Akikujibu nitag Mkuu.Sisi 0: wao 2
Hebu nikumbushe hivi ile game na vita club iliishaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Half Timeπππππ€£π€£π€£π€£π€£ leooo.
Hii sub ya leo Yanga mbona ni wengi sana,Au ndo na nyie Yanga mna kikosi kipanakikosi cha yanga leo vs kariobang shark
muda: saa 10:15
stadium: uwanja wa taifa
chanel: star tv, tbc 1, ss9
kikosi.
1. klaus kindoki
2. paul godfrey
3. gadiel michael
4. andrew vicent
5. kelvin yondan
6. abdala shaibu
7. ibrahim ajibu
8. feisal salum
9. heritier makambo
10. haruna moshi
11. mrisho ngassa
sub
1. ramadhani kabwil
2. juma abdul
3. haji mwinyi
4. papy tshishimbi
5. thaban kamusoko
6. said juma
7. deus kaseke
8. amis tambwe
9. matheo antony
10. ibrahm hamid
11. pius buswita
Dua la kuku halimpati mwewe[emoji3525]
πππDua la kuku halimpati mwewe[emoji3525]
Saaawaaaa.Half Timeπππππ€£
aunganishe na ya Stand kabisa ThadNikumbushe na matokeo ya Vita vs Simba [emoji6]
Zero ToleranceSaaawaaaa.
Kwenda huko unamchekea nani na dua zako mbaya[emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji23][emoji16][emoji3]
πππ hii kauli naomba tuijumlishe na ile mechi ya jumamosi kwa kulitia aibu Taifa.Naona Yanga wanatia aibu taifa letu kwa michuano ya kawaida kabisa hii
Maendeleo Hayana Chama Fanya KaziKwenda huko unamchekea nani na dua zako mbaya[emoji3525][emoji3525][emoji3525]