ENGINEER SOMA!!
Mabingwa mara 27 wa Bara, mabingwa wa Cecafa mara 4, makundi CAF championship mara 2. Simba, ubingwa bara chini ya 20, ubingwa Cecafa mara 5 (a record ), finalist CAF confederation mara 1, makundi CAF champion league mara 2. Nani mkali hapo?
KabisaAisee mabango ya beno sass yabebwe....huyu kindoki hatotufikisha nchi ya ahadi
Kwa kifupi mimi ni kipa hatari kuliko yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Goli la kwanza ni uzembe wa golikipa,msilete sababu hapaTuacheni Mambo ya ajabu hakuna goal la kumlaumu Kindoki kajitahidi ad sasa. Wachezaji wa ndani ndo wanazingua.
Mi naandika usisomeUsinisemeshe[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Umeshapigwa 2Mabingwa mara 27 wa Bara, mabingwa wa Cecafa mara 4, makundi CAF championship mara 2. Simba, ubingwa bara chini ya 20, ubingwa Cecafa mara 5 (a record ), finalist CAF confederation mara 1, makundi CAF champion league mara 2. Nani mkali hapo?
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaa kumbe unaendeleaAnajifanya kawasahau Wakongoman walichowafanya Jumamosi[emoji16]
Daima Mbele Nyuma MwikoNimeipata mbona.
Kwani wamewafanyaje hao vyura?