Sportspesa Simba Week: Yanga Iga Tukuzike

Mnakusanya kijiji..
Kweli kuna utofauti mkubwa kati ya simba na Yanga,
Simba wanapokusanya wanasimba kutoka pande zote za dunia, Yanga anakusanya kijiji,
Simba ratiba za mechi kwa ajili ya pre season kucheza na Orlando Parate na akina Township roller kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Klabu bingwa Afrika, Yanga yeye anacheza na Moro kinds, na Friend ranger afu anataka ashindane Kwenye michuano mikubwa ya klabu bingwa Afrika ka si kutafuta kuwalalamikia CAF ni nini?

Tukutane msimu ujao.
" IGA UFE, This is the next level"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…