Spotify. Hii app ni Noma

F
Follow these instructions
 
Spotify ni nzuri. Lakini ukiwa sehemu haina mtandao, au unahesabu MB za manati, ni mgogoro
 
Hapa unaiset vipi ili isome USA
 
Link inazengua kucopy. Hlf link ya APP moja kwa moja itaku-Redirect kwenda "Playstore" hlf utakutana na hicho kisanga cha "NOT AVAILABLE IN YOUR COUNTRY "

Fanya hivi
1. Search google "download spotify"
2. Chagua results zenye neno "uptodown" kwenye link, angalia mfano hizo mbili kwenye attachment
3. Kisha bonyeza 'old version "
4. Zitakuj nyingi chagua yeyote, ila mimi napend ya
5. Sijui kwa simu nyingn ila kwa galaxy 6 edge nikufungua hiyo download ili ni-install nitaletew option ya kufanya "temporary" modification kwenye security settings kwamba NI-ALLOW KUACCEPT APPS FROM OTHER MARKET (I.E GOOGLE) TOFAUTI NA PLAYSTORE.

This suggests husipoletea hiyo option nenda SETTING kabadilishe nafikiri ni kwenye security/privacy
6. Kisha kullow such modification ninaistall moja kw moja.
7. Kabla hujaji-Register download "VPN MASTER" kwenye PLAYSTORE itakayokuruhusu kutumia hii app ukiwa Tanzania.
8. Kisha ifungue vpn na u-set USA/CANADA
9. Nenda kujisajiri spotify.
10. Enjoy streaming millions musics at a cheapest cost i.e sio zaidi ya MB 20 kwa siku nzima continuously
 

Attachments

  • Screenshot_2018-07-26-02-42-26.png
    129.7 KB · Views: 43
Dah..thanks wakuu..
Nimefuata mwongozo na this time nmeweza kutumia spotify.
I've been using SoundCloud but y'all know it sucks in many ways.
Na Deezer ilintoa KO koz ilikuwa inakunywa data.
 
Dah..thanks wakuu..
Nimefuata mwongozo na this time nmeweza kutumia spotify.
I've been using SoundCloud but y'all know it sucks in many ways.
Na Deezer ilintoa KO koz ilikuwa inakunywa data.

Hongera mkuu, Spotify ndio habari ya mjini inazidi kutrend, na more likely with time watu watashindwa kunitumia nahisi restrictions zitakuw kali zaidi. Sasa kuna kipindi ikipita kama week 3 hivi utakuta imeku-log out. So principles ni zile zile washa VPN hlf log-in i. Ukimaliza ku-log in ZIMA VPN,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…