mbona nikiclick napata ukurasa wa JF?
hatamimi, vipi Preta ulikuwa unataka Kaswida nini? maana naona mwezi haujakupitia mbali kabisa
Samahani, sikujua kuwa haipatikani nchi zote. Kwa wale wanaoweza kupata bonyeza https://www.spotify.com/fi/open-user/halafu mkuu mbona masihara haya....hii kitu inapatikana kwenye nchi zifuatazo......
Finland
France
Norway
Netherlands
Spain
Sweden
United Kingdom
au kwa sisi wa Kwa Mtogole tutajiju....msitutenge namna hiyo jamani
Samahani, sikujua kuwa haipatikani nchi zote. Kwa wale wanaoweza kupata bonyeza https://www.spotify.com/fi/open-user/
wasiliana na mods haraka kabla DJ wa hii website kujiuzulu.mbona nikiclick napata ukurasa wa JF?