Spotted: Eliza wa BBA and her Husband Kelvin

wanapendezana, mungu ailinde family yao....maana kunavidudu mtu kazi yao kuharibu ndoa / family za watu.
 
wanawake bwana,huyu dem alikuwaga ana nata,mashauz kibao,mara ooh! I hate black men,ilove whites,ishu ka za kina mange,jamaa kelvin akawaserious at the end aka ngo'a mzigo ule! Hapa nimepata somo
 
wanawake bwana,huyu dem alikuwaga ana nata,mashauz kibao,mara ooh! I hate black men,ilove whites,ishu ka za kina mange,jamaa kelvin akawaserious at the end aka ngo'a mzigo ule! Hapa nimepata somo
Na Somo lenyewe ni Kuwa; ukikomaa hawa dada zetu hata awe nani? Wa wapi? Ana nini ukikomaa kilaiiinii! Hata mke aw Mtu ukikomaa unabeba
 
bhoke naye hajajifungua tu..maana kitu kile pale swimming pool kilikuwa yangoyango

Kile kitu kilikua cha mlango wa nyuma ..aliekwambia chaoati inakaangwa upande mmoja nani?? ndo mana wa Tz wengi walim maind
 
huyu dogo anafanana na nani na hapo kwa pembeni naona shisha sijui huyu dogo alionjeshwa ndio maana kabatasamu
 
Hongereni wapendwa katoto kazuri mpaka kanatia raha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…