Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Hahahaaaa. Umenichekesha sana leo. Duuhexpel, hit na rungu ni kwaajili ya nyinyi "ma-gentleman"
Furahi mamii, hii ni weekendHahahaaaa. Umenichekesha sana leo. Duuh
Yaani umenichekesha kwa sauti hadi machozi yananitoka,halafu niko peke yangu hapa ofisini mtu akitokea anaweza kudhani nime chizi kwa hili cheko, hahahahahaKwa nini Mkuu?
ya kwapahahahahahaaaa
inategemea anataka spray ya nini....ya miguu, nywele au pua ili apige chafya sana.
Hahaaaa. Wacha nifurahi aiseee.Furahi mamii, hii ni weekend
Ninayotumia mimi hataiweza huyo wa mkoani ISSEY MIYAKE INTENSEHahaaaa. Wacha nifurahi aiseee.
Ila ungemwambia hata unayotumia wewe tu. [emoji85]
Spray pia inanafasi yake hasa kwa issue ya jasho. Perfume kwa harufu tu. I prefer sprayachana na spray kamata perfume kabisa
epic adventure sh. 40000 mpaka 50000/-
Hahaaa. Huenda akaweza gharama yake.Ninayotumia mimi hataiweza huyo wa mkoani ISSEY MIYAKE INTENSE