Spray gani nzuri ya kiume

TUMIA DARK FEVER.
NINZURI SANA KILA MTU ATAKUULIZA NA KUKUSIFIA.
MIMI NATUMIA DARK FEVER...NENDA KWENYE DUKA KUBWA LA PERFUME UTAIPATA..
HAIZID 17000
Ipo so romantic mpaka unatamani kuila hivi πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜‹
 
Kuna Spray nyingine mtu akitumia hadi unaskia kama ubongo una shake kwenye kichwa ina harufu kaliii,

Nataka spray ambayo ni smooooth yaani ukijipulizia husumbui watu wengine walio karibu yako
tafuta spray yaitwa 'every one' iko soft sana tamu balaa mi ni mbovu sana na harufu za ajabu ajabu za mipafyumu na masprei huwa kichwa kinauma sana,ila kwa every one mzee baba nimekaa only buku 3500-5000.kutegemeana na sehemu ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…