Jaman wadau, napenda kujua mtu mwenye uelewa mkubwa wa magodoro, kuna aina ngap ya magodoro ya spring, brand ip ni imara zaid, ni kwel qfl dodoma wana spring mattress? Na bei kwa dukan ya spring matress futi 5 kwa 6 inch 8 n shilling ngap? Na je magodoro haya ni imara kuliko mengine ya kawaida?

mi ninalo hilo DODORO, aisee ni tamu balaa asikwambie mtu. nlinunua jeshini 3 years ago kama 190,000 hivi. ni 5x6 inch 8. tamu hilo, ila brand siikumbuki labda nifike home nifunue, ila ina logo ya green hivi