Sprinkler Guns za umwagiliaji

Njegele

Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
61
Reaction score
100
Habari wadau,

Nina shamba langu la hekari mbili na ninatka nifanyanye kilimo cha umwagiliaji wa kutumia gun sprinkler, naomba mnisaidie ni gun sprinkler ipi nzuri kwa kutumia kwenye kilimo cha mahindi, na chanzo changu cha maji ni kutoka ziwani, umbali wa shamba kutoka ziwani ni mita 100 na pump yangu outlet yake ni inchi 3
 
Upo wapi mkuu

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Mkuu, ebu check na hawa jamaa wa Water Sprinkler Head.
Namba zao za simu ni 0659074121

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…