SPSS Service

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Wapendwa nimeamua kutekeleza kwa vitendo zaidi ya mara ya kwanza kauli ya Mkulo kuwa kila Mtanzania ale kwa jasho lake... so nimeamua kuanzisha huduma ya ku-analyse data kwa kutumia SPSS kwa wale ambao watahitaji.

Napatikana wapi, Contacts zangu ni zipi, wewe ni PM tu tutamalizana huko huko pia kwa wale ambao watahitaji kusaidiwa kutengenezewa Research Titles ( Researchable ones) pamoja na ku-formulate tools kwa ajili ya hiyo research usisite kuni-PM bei ni kawaida tu.

Please take it serious. Naona kajimshahara kanaishia njiani hakafiki hata nyumbani.
 
Wengine wanatembelea tu jf ila hawajajisajili. Utakapoweka contacts zako unaweza kujiongezea soko...(ni ushauri tu)
Unataka tutake serious wakati we umeingizia utani. Babu wa loliondo kafata nini hapo?!
Unatuambia bei rahisi wakati thread inaonesha upo kimaslahi zaidi. Nitoe wasiwasi kwa hilo kabla sijakutafuta.
Pia hongera kwa wazo zuri.
 

Asante sana Mpwa, but i believe the message is clear, asante kwa ushauri mzuri sana
 
Nimeshafanya baadhi ya mabadiliko, hayo ya Contacts naomba yabakie hivyo hivyo...kuna sababu nyuma yake. Mengine nimerekebisha tayari mpwa. Thanks
 
uwe pia tayari kusaidia watakaoshindwa kumudu gharama

ubarikiwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…