Belight Technology
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 583
- 129
Safi sana.
halafu lete za watoto pia.Maana huu utekaji wa watoto siku hizi ni issue.
Sipati picha zikija chupi za GPRS,yaani mke na mume mnavaa,aiseee
Mie navua nampa mshkaji halafu nasepa,nikirudi kwenye mchepuo navaa tena
1. Spy Watch camera Video Recorder- 8GB Hidden Camera DVR Waterproof Camcorder Tsh 175,000/=
Product Spcifications
- Take Photos and Video,take Audio and used as Web Camera
- Video format: AVI
- Video resolution: 740*480 30fps
- Photo size: JPG 3264*2448
- Picture pixel: 2.0 mega pixel
- Image proportion: 4:3
- Battery capacity: 280mAh polymer lithium battery
- Working time: 115 Minutes
- Interface type: Mini 4Pin USB
- Waterproof: 3 Degree
View attachment 178632
Zitaendelea...
hakuna spy pen au spy bulb yenye uwezo wa kuchukua HD 720p?
kama unazo weka bei
Zipo mkuu. Na kuna vifaa vingi tu vyenye uwezo wa 720p hadi 1080.
Bosi Kwenye kila item hapo juu kuna Bei, usisite kuwasiliana nasi pia kwa maelezo na maelekezo zaidiweka bei kaka ili tujipange pia nipe maelekezo jinsi ya kuvipata nipo Dar
hahahahaha.....au ukifika ofisini unavua, unaweka kwa kiti chako, wewe unaondoka without kwenda mchepukoni.Safi sana.
halafu lete za watoto pia.Maana huu utekaji wa watoto siku hizi ni issue.
Sipati picha zikija chupi za GPRS,yaani mke na mume mnavaa,aiseee
Mie navua nampa mshkaji halafu nasepa,nikirudi kwenye mchepuo navaa tena
Mkuu ungenielekeza ni zipi ningekujibu vzuri zaidi. ila item unazoweza kuzipata ni nyingi sana nyingine hatuwezi kziweka public.security ear phone mnazo? Godfrey Electronics
nauliza kama zinaweza kurecord usiku giza bila kuwasha taa ya kawaida?
Mkuu ungenielekeza ni zipi ningekujibu vzuri zaidi. ila item unazoweza kuzipata ni nyingi sana nyingine hatuwezi kziweka public.
nielekeze ofisi zenu zilipo nije