tcra watazifungia simu za uongo very soon... Sasa itakuwaje[
Kweli sina taarifa hizo l..akini hata pale Kenya walifunga ila baadae kidogo wakaziachia
tcra watazifungia simu za uongo very soon... Sasa itakuwaje
Hahahah unataka kuuza shiba wakat zinafungwa kesho izo??
mchina ka advnce weng tpo na bluetooth yeye ana bluetoosh