B Bakalalwa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 748 Reaction score 1,217 Dec 29, 2024 #21 Jamaa kawauza alikuwa anawachora Season 2 tu kumbe ndo kiongozi mwenyewe, laiti jamaa angelijua
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Dec 29, 2024 #22 City Owl said: Jamaa wamekurupuka tu ili wapige hela.. hii season 2 haina suspense kama season 1. Inachosha kutazama, imeshia episode 7 na stori haijakamilika. Click to expand... kweli
City Owl said: Jamaa wamekurupuka tu ili wapige hela.. hii season 2 haina suspense kama season 1. Inachosha kutazama, imeshia episode 7 na stori haijakamilika. Click to expand... kweli
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 20,704 Reaction score 66,337 Dec 29, 2024 #23 moneytalk said: nimeshahau hata part one iliishia wapi Click to expand... anza upya tu nshacheki zote saivi
moneytalk said: nimeshahau hata part one iliishia wapi Click to expand... anza upya tu nshacheki zote saivi
moneytalk JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 7,976 Reaction score 16,769 Dec 30, 2024 #24 mshamba_hachekwi said: anza upya tu nshacheki zote saivi Click to expand... Huo muda sasa,hela nitatafuta saa ngapi
mshamba_hachekwi said: anza upya tu nshacheki zote saivi Click to expand... Huo muda sasa,hela nitatafuta saa ngapi
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Dec 30, 2024 #25 Bakalalwa said: View attachment 3187550 Jamaa kawauza alikuwa anawachora Season 2 tu kumbe ndo kiongozi mwenyewe, laiti jamaa angelijua Click to expand... Na kuna sehemu alijichanganya alimuita jamaa kwa jina lake mchizi kama akashtuka ila akazuga alimsikia jamaa ake akimuita hivyo
Bakalalwa said: View attachment 3187550 Jamaa kawauza alikuwa anawachora Season 2 tu kumbe ndo kiongozi mwenyewe, laiti jamaa angelijua Click to expand... Na kuna sehemu alijichanganya alimuita jamaa kwa jina lake mchizi kama akashtuka ila akazuga alimsikia jamaa ake akimuita hivyo