caroline daud
Member
- Sep 25, 2018
- 78
- 51
kwenmaHabari zenu wadau.
Mtakumbuka nilipost hapa kuwa natarajia kufunga ndoa, nashkuru ndoa imepita salama licha ya kupata michango hafifu sana kutoka kwa marafiki.
Nimekutana na kitu ambacho cjawahi kukutana nacho kipindi cha ubachelor, nikiwa nakula tunda la mke wangu baada ya muda anasema anahisi kukojoa na baada ya mda flani kweli anakojoa, tena ananirushia kabisa.
Nimeuliza jamaa wanasema kitaalamu inaitwa squirting, cha ajabu cjawai kukutana nayo enzi za ujahili.
Sasa hii ni normal thing na ni kwa baadhi ya wanawake tu na je ule ni mkojo au nini hasa?
Hivi inakuwaje mtu unakuja kutoa siri za mkeo hadharani namna hii?!
Humu majibu utakayopata yatakuchanganya tu, ungemuuliza vizuri huyo aliyekutajia hilo jina la 'Squirting' sie wengine hatuijui hiyo. Au ungekinga kwenye mkono kisha ukachunguze vizuri kama ni maji au mkojo. Ova
worry not bbOfisini haupo....naomba nipigie
Hahaha dogo kila mwanamke atakwambia hivyoo,,,, single mother halaf anasikia kwa mashostKamezaliwa 94, ila single mom,
Alisema ndo mara ya kwanza kukojozwaa vilee,
Alikuwa anasiikia kwa mashost
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maendeleo Hayana Chama
Ukanda ule wote wa kwa wahaya, wanyarwanda, waganda, wanyambo! Kati ya wanawake 10 unaweza kukuta 9 wanarusha majiNa WAHAYA ndo wanakojoa sana yanii
Wanamaji balaaaa...! Yani hatarii tupuuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukanda ule wote wa kwa wahaya, wanyarwanda, waganda, wanyambo! Kati ya wanawake 10 unaweza kukuta 9 wanarusha maji
Kitu mteraa[emoji23][emoji23][emoji23]Wanamaji balaaaa...! Yani hatarii tupuuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee! Nasikia mwanamke anaye rusha maji ana enjoy zaidi kuliko asiye rusha, basi kwa lugha nyingine ni kusema kwamba ukanda huo ndio unaofurahia zaidi tendo?Ukanda ule wote wa kwa wahaya, wanyarwanda, waganda, wanyambo! Kati ya wanawake 10 unaweza kukuta 9 wanarusha maji
Nini chanzo au asili?Ukanda ule wote wa kwa wahaya, wanyarwanda, waganda, wanyambo! Kati ya wanawake 10 unaweza kukuta 9 wanarusha maji
Hivi inakuwaje mtu unakuja kutoa siri za mkeo hadharani namna hii?!
huwa wanarushaga mkojoWanawake wengi vibonge hutoa hayo mambo